Tumefika Narok! 🤝🏽❤️
Tumezungumzia changamoto na matarajio ya wakazi kutoka kata tofauti kwa mustakabali wa nchi yetu.
Safari ya kuijenga Kenya inaanza kwa kusikilizana na kuweka wananchi mbele. Narok, tuko pamoja!
#MashaInNarok #PamojaNaMasha

1 0 0 3 154 0
Jackie Manani, OGW