Macharia Njeru
@MachariaNjeru
Tuko Mwatate! tukishiriki zoezi la upandaji miti na kuzungumzia umuhimu wa kutunza mazingira yetu. Kulinda mazingira ni jukumu letu sote.
🌱🌍 Tunaotesha leo kwa ajili ya kizazi cha kesho
#PamojaNaMasha
🌱🌍 Tunaotesha leo kwa ajili ya kizazi cha kesho
#PamojaNaMasha
0 21